NOTISI YA TAREHE YA KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2024 GN: NO. 225 OF 2024
Abstract
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Tarehe ya Kuanza Kutumika kwa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka, 2024.