Show simple item record

dc.contributor.authorOFISI YA WAKILI MKUU
dc.date.accessioned2024-09-09T08:23:53Z
dc.date.available2024-09-09T08:23:53Z
dc.date.issued2024-03-01
dc.identifier.issn2820-2686
dc.identifier.urihttp://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1396
dc.description.abstractToleo la Kumi la Jarida la Wakili Mkuu ni maalumu kwa ajili ya kuendelea kuangazia mafanikio ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) katika miaka mitatu ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika kuangazia hilo, Jarida hili linaendelea kutambua mchango mkubwa wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maeneo ya bajeti, ujenzi wa Ofisi kwenye mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma, usimamizi wa mashauri, mifumo ya usimamizi wa mashauri na udhibiti ubora, mafunzo kwa watumishi wa OWMS,ushirikiano wa Ofisi na wadau, maboresho ya mifumo ya TEHAMA ambayo kwa kiasi kikubwa yameboresha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ndani na nje ya nchi.en_US
dc.publisherOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.subjectTOLEO LA 10en_US
dc.titleJARIDA WAKILI MKUU/ Toleo Na. 10en_US
dc.title.alternativeTOLEO LA 10en_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record