Show simple item record

dc.contributor.authorOFFICE OF SOLICITOR GENERAL (OSG)
dc.date.accessioned2024-08-28T12:20:47Z
dc.date.available2024-08-28T12:20:47Z
dc.date.issued2024-01-24
dc.identifier.urihttp://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1390
dc.description.abstractToleo la Nane la Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ni maalum kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu mambo mbalimbaliyaliyojiri katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kipindi kinacho anzia mwezi Julai hadi Septemba Mwaka 2023. Katika kipindi hicho Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi madhubuti wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa kuendelea kusimamia vizuri mashauri yote ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na Serikaliau dhidi yake hatua ambayo imesaidia kuokoa fedha nyingi ambazo zingelipwa kama Serikali ingeshindwa mashauri hayo Mahakamani.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.subjectJARIDAen_US
dc.subjectTOLEO LA 8en_US
dc.subjectOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.titleJARIDA WAKILI MKUU/ Toleo Na. 8en_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record