Show simple item record

dc.contributor.authorOFISI YA WAKILI MKUU
dc.date.accessioned2024-08-28T08:58:52Z
dc.date.available2024-08-28T08:58:52Z
dc.date.issued2023-01-28
dc.identifier.issn2820-2686
dc.identifier.urihttp://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1372
dc.description.abstractToleo la Tano la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuangazia uelekeo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapoelekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika kuangazia hilo, jarida hili linaendelea kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha Ofisi hii. Pamoja na mchango mkubwa wa Mhe. Rais, Ofisi ya Wakili Mkuu imekuwa mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuhakikisha tunaendelea kuiwakilisha vyema na kwa weledi mkubwa katika uratibu, usimamizi na uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na au dhidi ya Serikali na taasisi zake ndani na nje ya nchi.en_US
dc.publisherOFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALIen_US
dc.subjectTOLEO LA TANOen_US
dc.subjectJARIDAen_US
dc.titleJARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANOen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record