SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA YA MWAKA 2023 NA. 10 YA 2023
Date
2023-10-06Author
NENELWA J. MWIHAMBI, CLERK OF THE NATIONAL ASSEMBLY,
Metadata
Show full item recordAbstract
Sheria ya kuweka masharti bora ya usimamizi wa ununuzi wa umma na ugavi, kufuta Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2011 na kutunga upya Sheria ya Ununuzi wa Umma na masuala mengine yanayohusiana na hayo. Sheria hii "itaanza kutumika tarehe
ambayo Waziri atateua kwa notisi katika Gazeti la Serikali".