Search
Now showing items 1-10 of 18
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipokea jarida, nyaraka na zawadi kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipokea jarida, nyaraka na zawadi kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende. alipotembelea Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dar es Salaam ...
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende kuhusu Maktaba.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende kuhusu Maktaba ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa ziara yake ya kikazi ...
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akisaini kitabu chawageni kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (hayupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Wakili Mkuu ...
Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Mwakilishi wa Tume ya VENICE wa Italy
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)
Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akifafanua jambo kwa Mwakilishi wa Tume ya VENICE wa Italy na Ufaransa, Qianni Buqvicchio alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ...
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) na Alicia Mbuya, (katikati) akiwa na Mercy Kyamba, Mkurugenzi Msaidizi Udhibiti Ubora.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Changá (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo (katikati) akiwa ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
(OWMS, 2023-10-23)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua mkutano wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika Arusha. Kulia ni Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ...
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi kwa Alicia Mbuya kwenye banda, Arusha
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)
Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Hangi Chang’a akikabidhi Jarida la Ofisi hiyo kwa Alicia Mbuya aliyewahi kushika nafasi hiyo wakiwa kwenye banda ...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakihudhuria mkutano wa ...
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye banda la maonesho la Ofisi hiyo ...
Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)
Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ...