Browsing by Subject "JARIDA"
Now showing items 1-8 of 8
-
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA NNE
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-04-04)Hili ni toleo la Nne la Jarida la Wakili Mkuu wa serikali. Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali linawapongeza watumishi wa OWMS kwa mafanikio makubwa ambayo wamechangia kwa Serikali ya Awamu ya Sita. -
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SABA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-08)Toleo la Saba la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kutathmini utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018. Katika ... -
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SITA
(OFFICE OF THE SOLICITOR GENERAL, 2023-10-16)Toleo la Sita la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuendelea kuangazia mafanikio ya Ofisi ya Wakili Mkuu Wa Serikali katika miaka miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia ... -
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-01-01)Toleo la Kumi la Jarida la Wakili Mkuu ni maalumu kwa ajili ya kuangazia mafanikio ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) katika kipindi kinachoanzia mwezi Januari, 2024 mpaka Machi, 2024 kwa kuzingatia 4R za Rais wa ... -
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI NA MOJA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-04-01)Tarehe 04 Aprili, 2024; Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan alimteua Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Edward Mtulo ... -
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA NANE
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-01)Toleo la Nane la Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ni maalum kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kipindi kinacho anzia mwezi Julai hadi ... -
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANO
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-01-28)Toleo la Tano la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuangazia uelekeo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapoelekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika kuangazia hilo, jarida hili ... -
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TISA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-01)Tarehe 02 Oktoba, 2024; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Bi. Sarah Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Bi. Mwaipopo alikuwa Naibu Wakili Mkuu ...