Browsing by Author "OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI"
Now showing items 1-20 of 24
-
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA NNE
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-04-04)Hili ni toleo la Nne la Jarida la Wakili Mkuu wa serikali. Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali linawapongeza watumishi wa OWMS kwa mafanikio makubwa ambayo wamechangia kwa Serikali ya Awamu ya Sita. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI AFUNGUA MAFUNZO YA UADILIFU
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo amefungua mafunzo kwa kamati ya uadilifu na kwa Menejimenti Maalum ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani kwa muda wa siku mbili kuanzia ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO (KATIKATI) AKIWA NA WAJUMBE WA MANEJIMENTI YA OWMS.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa manejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya uadilifu ya ofisi hiyo kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIWA NA WAKUFUNZI WA MAFUNZO.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa mafunzo kuhusu utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UADILIFU YA OWMS
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu utekelzaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya nne ... -
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na ujumbe wake (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kujitambulisha na kuona namna ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt Ally Possi (wa nne kushoto) na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt Ally Possi (wa nne kushoto) na ujumbe wake akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (wa nne kulia) baada ya kutembelea ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kikao chake na menejimenti hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (aliyeketi kushoto kwake) alipofika Mahakamani hapo kujitambulisha ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera (aliyesimama katikati), Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa ... -
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki inavyofanyakazi alipotembelea Mahakama hiyo Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifafanua jambo kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifafanua jambo kwa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (hayupo pichani) alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kujitambulisha na kuona ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimkabidhi Jarida la Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud alipotembelea Mahakama hiyo kwa lengo la Kujitambulisha na kuona namna ...