OSG e-Library
This is a digital platform that collects, preserves and distributes legal digital information. OSG e-Library is important software that facilitates legal research in Civil Litigation matters, inform library users on current legal developments by using (Current Awareness Service method (CAS) and to quip the collection with e-publications e.g: constitutions, statutes and legal documents.
OSG Library Communities
Select a community to browse its collections.
Recently Added
-
WAKILI WA SERIKALI MKUU NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UADILIFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. VIVIAN METHOD
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Wakili wa Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo( ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO (KATIKATI) AKIWA NA WAJUMBE WA MANEJIMENTI YA OWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa manejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya uadilifu ya ofisi hiyo kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIWA NA WAKUFUNZI WA MAFUNZO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa mafunzo kuhusu utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UADILIFU YA OWMS
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu utekelzaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya nne ...